2 Mambo ya Nyakati 6 : 24 2nd Chronicles chapter 6 verse 24

Swahili English Translation

2 Mambo ya Nyakati 6:24

Ikiwa watu wako Israeli wamepigwa mbele ya adui zao, kwa sababu wamekukosa wewe; kama wakirejea kwako, na kulikiri jina lako, wakikuomba na kukusihi nyumbani humu;
soma Mlango wa 6

2nd Chronicles 6:24

If your people Israel be struck down before the enemy, because they have sinned against you, and shall turn again and confess your name, and pray and make supplication before you in this house;