Mithali 3 : 8 Proverbs chapter 3 verse 8
Swahili | English Translation |
---|---|
Mithali 3:8
Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako.
|
Proverbs 3:8It will be health to your body, And nourishment to your bones. |