Ruthu 1 : 22 Ruth chapter 1 verse 22
Swahili | English Translation |
---|---|
Ruthu 1:22
Basi Naomi akarudi; pamoja na Ruthuu Mmoabi, mkwewe; ambao walirudi kutoka nchi ya Moabu; nao wakafika Bethlehemu mwanzo wa mavuno ya shayiri.
|
Ruth 1:22So Naomi returned, and Ruth the Moabitess, her daughter-in-law, with her, who returned out of the country of Moab: and they came to Bethlehem in the beginning of barley harvest. |