Godwin Ombeni - Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana

Chorus / Description : Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa
Twakubudu Bwana wastahili
Twakupa utukufu
Twakubudu Bwana wastahili sifa

Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana Lyrics

Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa
Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa

Twakupa utukufu twakubudu pekee
Wastahili sifa
Wewe ni mwanzo
Wewe ni Alpha na Omega
Twakubudu Pekee Wastahili sifa

Twakupa utukufu
Twakubudu Bwana wastahili
Twakupa utukufu
Twakubudu Bwana wastahili sifa
(Twakupa heshima zote)
Twakubudu Bwana wastahili sifa
Heshima zote (heshima zote)
Sifa zote (Sifa zote)
Twakubudu Bwana wastahili sifa

Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana Video

  • Song: Wewe ni Alpha na Omega Twakuwabudu Bwana
  • Artist(s): Godwin Ombeni


Share: