Grace Namwamba - Nitatangaza neno lake Bwana

Chorus / Description : Nitatangaza neno lake Bwana
kwa mataifa mbali mbali leo
I will praise the name of the Lord to All nations
Swahili and Luo

Nitatangaza neno lake Bwana Lyrics

Nitatangaza neno lake Bwana
kwa mataifa mbali mbali leo

Waswahili Tuimbe tukimsifu Bwana.
Na wakenya tuimbe tukimsifu Bwana
Afrika nzima, tuimbe tukimsifu Bwana

Nitatangaza neno lake Bwana
kwa mataifa mbali mbali leo

? ? ? ? ? ? singing in Luo ...

I will praise the name of the Lord to All nations
@sifaGospel Nitatangaza neno lake Bwana

Nitatangaza neno lake Bwana Video

  • Song: Nitatangaza neno lake Bwana
  • Artist(s): Grace Namwamba


Share: