Lyrics Page
Ahadi za Bwana Yesu zitatimia
2,169 views
Sep 26, 2025 updated
yeye ni mwaminifu. Mara nyingi unaeza ona
ni kana kwamba amesahau, lakini Mungu hajasahau.
subiri Bwana atatenda.
Ahadi za Bwana, ahadi za Bwana Yesu, zitatimia aah.

Usikate tamaa ,usifadhaike mpendwa ,
maana Mungu ni mwaminifu, atatimza
Ahadi za Bwana, ahadi za Bwana Yesu, zitatimia aah
Ahadi za Bwana, ahadi za Bwana Yesu, zitatimia aah.
Usilie ndugu,usiangalie nyuma.
maana Mungu yu pamoja nawe, anatimza.