Lyrics Page

Kutoka Kwa Moyo Wangu

By Bahati

1,798 views Jun 6, 2026 updated
oh mapenzi ya msalabani ni mapenzi ya baba yangu*
Miaka elfu mbili zilizopita, hiyo siku baba,
kabla jua halijazama kabla giza halijatanda,
pale milimani ,pale msalabani katika misumari,
kalipa yote maishani baada ya mapigo na matusi,
kanisamehe mwenye dhambi, oh oh ooh

kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue

kama si we kunifia basi ningeitwa nani,
kama sio kwa damu yako basi ningetakasika aje
kama sio we mungu wangu mimi ningeishi vipi
ulikufa ukafufuka ili nipate uzima wa milele
nakuinua ,uishiye,pokea sifa kwa maana wewe mimi sina

kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue

My God Because of your Love, I am where I am today
Because of your Love I dont know even what I have to face
Because of your love you died for my debts to pay

Mapenzi yasiyokuwa na kifani
Kwa ajili ya mapenzi mabaya hayahesabiki
Mapenzi ya Yesu kwangu, yamenitengeneza Jinsi nilivyo
Oh ni mapenzi ya Yesu Kwangu

kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue
kutoka kwa moyo wangu, ibada yangu ikufikie,
kwa moyo wangu nyimbo zangu zikuinue

Ft. Jemimmah Thiong'o

Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.