Lyrics Page

Mungu Mwenye Ishara

By Boaz Danken

1,691 views Jun 6, 2026 updated

Mungu mwenye ishara na maajabu 

Twakuunua mfalme wa wafalme

Umetamalaki duniani kote 

Twakuinua mfalme wa wafalme 


Mungu mwenye ishara na maajabu 

Twakuunua mfalme wa wafalme

Umetamalaki duniani kote 

Twakuinua mfalme wa wafalme 


Ulimuonyesha Musa njia zako 

Wanaisraeli matendo yako 

Ulimpiga Farao kwa mapigo kuu 

Ukawaokoa watoto wako 

Habari zimeenea adui watetemeka 

Twakuinua mfalme wa wafalme 

Waliokombolewa wanashangilia 

Twakuinua mfalme wa wafalme 


Mungu mwenye ishara na maajabu 

Twakuunua mfalme wa wafalme

Umetamalaki duniani kote 

Twakuinua mfalme wa wafalme 


Oh mfalme wa wafalme 

Oh mfalme wa wafalme 


Nigeria:

Imela Chineke Imela Oh 

Imela Chineke Imela 

Imela Chineke Imela Oh 

Imela Chineke Imela 

Igwe Igwe Igwe oh 


South Afrika: 

Siyabonga Nkosi siyabonga oh

Siyabonga Nkosi siyabonga

Siyabonga Nkosi siyabonga oh

Siyabonga Nkosi siyabonga


Western: 

Thank You, Thank You oh 

Thank You Jesus Thank You 


Back to swahili: 

Asante Yesu asante oh 

Asante Yesu asante 

Asante Yesu asante oh 

Asante Yesu asante 

Igwe Igwe Igwe

Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.