Lyrics Page
Nitatangaza neno lake Bwana
2,908 views
Jun 6, 2026 updated
kwa mataifa mbali mbali leo
Waswahili Tuimbe tukimsifu Bwana.
Na wakenya tuimbe tukimsifu Bwana
Afrika nzima, tuimbe tukimsifu Bwana
Nitatangaza neno lake Bwana
kwa mataifa mbali mbali leo
? ? ? ? ? ? singing in Luo ...
I will praise the name of the Lord to All nations
@sifaGospel Nitatangaza neno lake Bwana