Elshadai Lyrics

By H-art

Lyrics

Elshadai

Uko na kile mimi nadai

Ulinipenda ata kama mm sifai

Elshadai Elshadai Elshadai

Uko na kile minadai 

Ulipenda ata kama me sifai


He's an awesome God

Amenipa such an awesome soul

And am never lonely 

Amenipa such an awesome love

He is an awesome God

And I wanna tell to the world

Iliwajue ni wewe

kama si wewe basi nani

Naskia landlody ako kwa njia anataka codi

Najua wewe utaprovide

Na nina ngori moyoni zinanijaza worry

Ila nitakua fine


Elshadai

Uko na kile mimi nadai

Ulinipenda ata kama mm sifai

Elshadai Elshadai Elshadai

Uko na kile minadai 

Ulipenda ata kama me sifai


Everyday everyday is an awesome day

Na vile unanibariki 

Hata mimi sielewi

Everyday everyday you come through

And I know some way

Kwenye dhiki nimepata rafiki

Rafiki wa kweli

Na kuna kaloni mahali kananijaza worry

Ni wewe utaprovide

Nina mahari natamani kulipia mpenzi

Sote tutakuwa fine

Na madaktari wanasema hali sio hali

wewe unajua time

nahisi nguvu zako kwangu

I will call you Elshadai


Elshadai

Uko na kile mimi nadai

Ulinipenda ata kama mm sifai

Elshadai Elshadai Elshadai

Uko na kile minadai 

Ulipenda ata kama me sifai


Music Video

Now Playing...