Lyrics Page
Jina la Yesu
4,088 views
Jun 6, 2026 updated
ni ngombe yangu
jina la yesu
ni ngome yangu
nitamkapo jina hilo
ngome nyingine sina
nitamkapo jina hilo
ngome nyingine sina
Jina la yesu
ni ngome yangu
jina la yesu
ni ngome yangu
nitamkapo jina hilo
ngome nyingine sina
nitamkapo jina hilo
ngome nyingine sina
nitamkapo jina hilo
ngome nyingine sina
Jina linakomboa (jina la Yesu)...
Jina linasafisha (jina la Yesu)...
The name of Jesus is my strong tower
@Fenuel Sedekia