Mifupani Lyrics

By Joel Lwaga

Lyrics

Unipae afya mifupani mwangu

Ninakwamini Ninakwamini

Nimekujua na nimekuona 

Ninakwamini Ninakwamini


Unipae afya mifupani mwangu

Ninakwamini Ninakuamini

Nimekujua na nimekuona 

Ninakwamini Ninakwamini


Tumaini langu 

Ni wewe tu, Ni wewe tu

Msaada wangu

Ni wewe tu, Ni wewe tu

Kimbilio langu

Ni wewe tu Bwana ni wewe tu.

Mungu wangu  

Ni wewe tu ni wewe tu


Unipae afya mifupani mwangu

Ninakwamini Ninakwamini

Nimekujua na nimekuona 

Ninakwamini Ninakwamini


Tumaini langu ni wewe tu

Msaada wangu ni wewe tu

Kimbilio langu ni wewe tu 

Mungu wangu ni wewe tu.


Japo machozi yanatiririka

Ila acha yatoke yasafishe macho

Ili nikwone wewe tu wewe tu

Wewe tu wewe tu

Nikwone wewe tu


Nikujue wewe zaidi

Kupitia haya zaidi uuh!

Nikujue wewe zaidi

Kupitia haya zaidi


(Wewe unipaye)

Unipaye afya mifupani mwangu

Ninakwamini Ninakwamini

Nimekujua na nimekuona 

Ninakwamini Ninakwamini

(Bwana nguvu zangu) Unipaye afya 

(Wewe ushindi wangu) Mifupani mwangu

Ninakwamini Ninakwamini

(Nimekujua wewe ni mwaminifu sana)

Nimekujua na nimekuona 

(Natukuza jina lako)

Ninakwamini Ninakwamini


Msaada wangu ni wewe tu

Kimbilio ni wewe tu

Tumaini langu ni wewe tu

Msaada wangu ni wewe tu 

Mfariji wangu ni wewe tu

Nitakuona wewe tu

Hata gizani nitakwona wewe tu


Wewe tu wewe tu wewe tu.


Nimekujua na nimekwona

Nimekwaminini Nimekwamini

JOEL LWAGA - MIFUPANI (Official Video)

Now Playing...