Lyrics Page
Adonai Nakupamba na sifa zangu
2,315 views
Jun 6, 2026 updated
Nakuinua, wastahili, wapendeza, Mungu wangu
Jina lako, takatifu, wewe kwangu? Oh
Nakwita Adonai; Ewe U Bwana wangu
Nakwita Jehova Nissi; bendera yangu ? vita ni vyako
Nakuita Jireh; hakuna chochote
Jehovah Shammah; pamoja nami
Meaning:
Honor you with my praises