Lyrics Page
Nimehitaji Mwokozi
2,246 views
Jun 6, 2026 updated
Nataka mkono wake kunizunguka sana
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi sina imani nyingi
Atanifufua moyo wengine hawawezi
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi mwendoni mwa maisha
Katika mateso mengi, tena katika vita
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Nimehitaji mwokozi kiongozi njiani
Kwa jicho aniongoze nifike mbinguni
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima
Hofu rohoni sina, aniongoze tena
Sitanung'nika tena, nikufuate daima