Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue
Moyo wangu watamani nataka nikujue .
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Niko kama vile tasa atafutavyo mwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue .
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Nataka nikujue nikufahamu Bwana
Moyo wangu watamani nataka nikujue
Moyo wangu watamani nataka nikujue .