Wanajua Lyrics

By Mwenyehaki

Lyrics

Oooh oh oh, story wanajua, nikulenga tu, kulenga tu

Wanajua, ni kulenga tu, ni kulenga tu, ni kulenga tu

Wanakujua, ni kulenga tu, ni kulenga tu ni kulenga tu

Tangu wakiwa wachanga, oh ai, kupelekwa kanisa na mama, oh ai

Sunday skuli, kufundishwa tamaduni.

Wakisema memory verse, pale mbele madhabahuni

Sasa ni wahuni wape makuhani

Waliosema memory verse, pale mbele madhabahuni

Sasa ni wahuni wape makuhani

Kusoma neno la Bwana na kusahau, ni kama kujiangalia kwa kioo

Na kusahau unavyokaa, unavyokaa


Wanajua, ni kulenga tu, ni kukulenga tu, ni kulenga tu

Wanakujua, ni kulenga tu, ni kukulenga tu


Wakiwa barabarani, wakingoja basi,

Na wakiwa korokoroni wakingoja judge,

Hapakosi mtu hapo kando kuwaeleza haya mambo

Wakiwa sokoni wakiuza na kununua

Hapakosi mhubiri kuwaeleza ukweli

Wanamdismiss eti ni conman anataka sadaka zao

Wamesahau ni sauti yake Mungu kupitia nabii

Kusoma neno la Bwana na kusahau, nikama kujiangalia kwa kioo

Na kusahau unavyokaa, unavyokaa


Wanajua, ni kulenga tu, ni kukulenga tu, ni ikulenga tu

Wanakujua, ni kukulenga tu, ni kulenga tu


Wakivaa mini sketi, wakiibia wamama vibeti

Wakiplay sara na betty, wakikunywa karibu kireti

Wakistagger stager, wakitoa dagger

Wakipull the trigger, ili wafanye murder

Wanajua wanachofanya, wanajua wanakosea

Kusoma neno la Bwana na kusahau, nikama kujiangalia kwa kioo

Na kusahau unavyokaa, unavyokaa


Wanajua, ni kulenga tu, ni kukulenga tu, ni ikulenga tu

Wanakujua, ni kukulenga tu, ni kulenga tu

Now Playing...