Lyrics Page
Ni wakati wa kuomba
1,969 views
Jun 6, 2026 updated
Ni wakati kanisa wa kuomba
Dunia inapotikiswa
Ni wakati kanisa wa kuomba
Kanisa litasimama wakristo tukiomba
Ni wakati kanisa wa kuomba