Lyrics Page

Pokea Sifa na Utukufu

By Rebecca Malaba

2,100 views Jun 6, 2026 updated
Pokea sifa na utukufu Pokea sifa na utukufu
Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako
Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako

Wewe ni Mungu uketiye mahali pa Juu
Umeketi katikati ya sifa za watu wako
Maserafi makeribu watakatifu wako Mungu
Wakisema wastahili pokea sifa, Nasi Bwana
Twaungana na watakatifu, tukisema wastahili milele yote.
Leo twaungana na malaika, tukisema wastahili milele yote.

Lalala mkono wako ni wa ajabu
Lalala nguvu zako ni za uweza
Lalala moyo wangu utakusifu wewe

Pokea sifa na utukufu Pokea sifa na utukufu
Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako
Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako.

Mpenzi mwema, rafiki, Baba wa wote
Tegemeo mfariji wakati wa shida, tumaini letu wakati wote.
All the nations declare of your glory
Lalala mkono wako ni wa ajabu
Lalala nguvu zako ni za uweza
Lalala moyo wangu utakusifu wewe

Pokea sifa na utukufu Pokea sifa na utukufu
Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako
Mbingu yote na dunia zimejaa utukufu wako.

Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.