Maombi Lyrics
Lyrics
Unapoomba nitaje jina
Omba Mungu anikumbuke
Ni mnyonge mimi sina uwezo
Kwa maombi ntapata huru
Unapoomba omba kwa imani
Maombi atayasikia
Unapoomba uwe mnyenyekevu
Maombi atayajibu
Kulala kwetu kuamka kwetu
Kuishi kwetu ni neema
Tumaini letu ni kwako Bwana
Abudu ungama shukuru kwa dua zetu
Tumaini letu ni kwako Bwana
Unapoomba omba kwa imani
Maombi atayasikia
Unapoomba uwe mnyenyekevu
Maombi atayajibu
Mungu ajibu maombi maombi maombi
Mungu ajibu maombi maombi
Maombi ya watu wake
Uliza amani pokea shukuru
kulingana na ahadi zake ombi lako litajibiwa
Uliza amani pokea shukuru
kulingana na ahadi zake ombi lako litajibiwa
Unapoomba omba kwa imani
Maombi atayasikia
Unapoomba uwe mnyenyekevu
Maombi atayajibu
Mungu Ajibu Maombi || The Saints Ministers Live @Karengata Camp 2019 {Skiza Code 76110157}
Song Information
- Artist
- The Saints Ministers
- Released
- August 9, 2019
- Genre / Category
- swahili
- Views
- 1,562