Aflewo - Ametenda Mema & Awesome God

Chorus / Description : Africa Lets Worship 2017
Ametenda Mema Huyu Yesu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Tunatukuza jina Lako Yahweh
Eeh Baba Tunakutuza
Awesome God Mighty God
I Give you praise

Ametenda Mema & Awesome God Lyrics

Africa Lets Worship 2017
Ametenda Mema Huyu Yesu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Ametenda Mema Maishani MWetu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Ametenda Mema Huyu Yesu
Ndio Maana sisi tunakutuza
Ametenda mema eeh Bwana
Ndio Maana sisi tunakutuza

Tunatukuza jina Lako Yahweh
Eeh Baba Tunakutuza
Tunatukuza jina Lako Bwana
Eeh Baba Tunakutuza
Tunatukuza jina Lako Yesu
Eeh Baba Tunakutuza

Kwa Lesa Yote Kwa Lesa
Kwa Lesa Yote Kwa Lesa
Kwa Baba Yote Kwa Baba
Kwa Lesa Yote Kwa Lesa

Awesome God Mighty God
I Give you praise
Awesome God Mighty God
I Give you praise
You are higher lifted up
Awesome God
You are higher lifted up
Awesome God

Iyaa iya oh-ooh iya iya

We give praise
We give praise
I give you praise
You are Higher lifted up
Mighty God

Iyaa iya oh-ooh iya iya

Ametenda Mema & Awesome God Video

  • Song: Ametenda Mema & Awesome God
  • Artist(s): Aflewo


Share: