Angela Chibalonza - Sasa Narudi

Chorus / Description : Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi
Nimetembelea mbali, Sasa narudi;
Nilipotea dhambini, Sasa narudi.
Nimepoteza miaka mingi, Sasa narudi;
Tena nazitubu dhambi, Sasa narudi.

Sasa Narudi Lyrics

Nimetembelea mbali, Sasa narudi;
Nilipotea dhambini, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Nimepoteza miaka mingi, Sasa narudi;
Tena nazitubu dhambi, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Nimechoka na dhambi, Bwana, Sasa narudi.
Neno lako naamini, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Nimevunjika, siwezi, Sasa narudi;
Nipate nguvu na amani, Sasa narudi.

Narudi, narudi, Kutoka mbali;
Sasa unikaribishe, Bwana narudi

Sasa Narudi Video

  • Song: Sasa Narudi
  • Artist(s): Angela Chibalonza


Share: