Mbuvi - Mwambie anakuangalia wewe

Chorus / Description : Mwambie mwambie mwambie
Shida Shida za Dunia Zinakuhangaisha
Watu unaowatazamia wanakuzungusha
Hakuna msaada kamili utapata kwao
ni bora uachane nao
Kama una shidaa (mwambiee)
usione hayaa (mwambiee)
atakusikia (mwambiee)
mwambie yeye
Na kama majaribu (mwambiee)
unayopitia (mwambie)
atakusikia

Mwambie anakuangalia wewe Lyrics

Mwambie mwambie mwambie
Shida Shida za Dunia Zinakuhangaisha
Watu unaowatazamia wanakuzungusha
Hakuna msaada kamili utapata kwao
ni bora uachane nao

Kama umelala njaa,
umefukuzwa nyumba
kwa sababu huna pesa
sikiza nikwambie

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Kama una shidaa (mwambiee)
usione hayaa (mwambiee)
atakusikia (mwambiee)
mwambie yeye
Na kama majaribu (mwambiee)
unayopitia (mwambie)
atakusikia

@Mbuvi Mbuvi - Mwambie -Tell Him

Na ukipata shukuru, akijibu Mungu
Akikawia Subiri usije kufuru

umelala njaa,
umefukuzwa nyumba
kwa sababu huna pesa
sikiza nikwambie

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Mungu anakuangalia wewe
anakutangulia mbele
anakungojea wewe
weweee

Yuko kwa ajili yako (mwambie)
ushindi wako (mwambie)
Tumaini lako (mwambie)
msaada wako (mwambie)
mwambieeeeeeeeeeee.

Mwambie anakuangalia wewe Video

  • Song: Mwambie anakuangalia wewe
  • Artist(s): Mbuvi


Share: