Mbuvi - Najikakamua

Chorus / Description : Nitajikakamua
Niliite Jina lako Baba
Kwani najua Kilio Changu Wewe
Utakisikia

Najikakamua Lyrics

Eti Wewe Wanipenda,
Eti Wewe Ulinifia,
Eti Wewe Wanijali,
Eti Wewe, Eti Wewe,

Wahenga Walinena,
 Mgaagaa na Upwa,
Hali Wali Mkavu.
Lakini Lolote nifanyalo,
Hili Lile,
Faida Ni Bure.
Nimeona Sijiweze,
Nimebaki Upweke,
Mwenda Tenzi na Omo,
Marejeo Ngamani.

Chorus
Nitajikakamua,
Niliite Jina lako Baba.
(Nikwite Baba),
Kwani najua Kilio Changu Wewe,
Utakisikia.
(Tasikia),
Naja, Naja,
Niokoe na Janga la Mauti.

Neno Lako Lasema,
Ndani Lako ni Zaidi Ya Mshindi,
Basi Naja nilivyo,
Sijiweze Niokoe,
Nichukue, Nibariki,
Nifinyange, Nibadilishe,
Niwe Upendavyo.

Chorus
 Nitajikakamua,
Niliite Jina lako Baba.
(Nikwite Baba),
Kwani najua Kilio Changu Wewe,
Utakisikia.
(Tasikia),
Naja, Naja,
Niokoe na Janga la Mauti.

Vamp
Aaaaaaah
 Nikwite Baba
Aaaaaah
Tasikia

Chorus
Nitajikakamua,
Niliite Jina lako Baba.
(Nikwite Baba),
Kwani najua Kilio Changu Wewe,
Utakisikia.
(Tasikia),
Naja, Naja,
Niokoe na Janga la Mauti.

Najikakamua Video

  • Song: Najikakamua
  • Artist(s): Mbuvi


Share: