Neema Mwaipopo - Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya

Chorus / Description :
Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa
Nitakapomwona mwana wa adamu, akija mawinguni kunichukua.
Na malaika wakishangilia eeh, sipati picha nitakavyo kuwa
kwa raha zangu mimi sipati picha.

Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya Lyrics

Mwaipopo: Natamani nchi mpya aliyoiandaa Yesu.
Bass: natamani, natamani nchi mpya.
Bass: natamani, natamani nchi mpya.

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Nitakapomwona mwana wa adamu, akija mawinguni kunichukua.
Na malaika wakishangilia eeh, sipati picha nitakavyo kuwa. x2

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Nitakapofika kwa Baba yangu, nitaketi naye nikimtazama.
nderemo vinubi, na tarumbeta, sipati picha siku hiyo. x2

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Atakaposema karibu mwanangu, taabu za dunia hautaziona.
nikiyalaani milele yote, kwa raha zangu mimi sipati picha.

Mimi natamani mbingu mpya na nchi mpya
aliyoiandaa mwanakondoo, kwa kunifahari
naashi kwa kuwa. x2

Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya Video

  • Song: Sipati Picha - Natamani mbingu mpya nchi mpya
  • Artist(s): Neema Mwaipopo


Share: