Pst Samuel - Baba wa mbinguni nyosha mkono wako

Chorus / Description : Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako Lyrics

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Tunakuinua
Baba wa mayatima nyosha mkono wako
watu wako waune, wakishauona
walisifu jina lako

Tunanyenyekea
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako

Tunakuhitaji
Mungu wetu wa mbinguni nyosha mkono wako
watu wako waune, walisifu
walisifu jina lako
Ni wewe twakuinua
Tunakuheshimu

... @ PST. SAMWEL - Baba nyosha mkono wako

Baba wa mbinguni nyosha mkono wako Video

  • Song: Baba wa mbinguni nyosha mkono wako
  • Artist(s): Pst Samuel


Share: