1 Mambo ya Nyakati 18 : 13 1st Chronicles chapter 18 verse 13
Swahili | English Translation |
---|---|
1 Mambo ya Nyakati 18:13
Akaweka ngome katika Edomu; na Waedomi wote wakawa watumwa wa Daudi. Naye Bwana akampa Daudi kushinda, kila alikokwenda.
|
1st Chronicles 18:13He put garrisons in Edom; and all the Edomites became servants to David. Yahweh gave victory to David wherever he went. |