Mwanzo 24 : 8 Genesis chapter 24 verse 8

Swahili English Translation

Mwanzo 24:8

na yule mwanamke asipokubali kufuatana nawe, basi, utafunguliwa kiapo changu hiki; lakini usimrudishe mwanangu huko.
soma Mlango wa 24

Genesis 24:8

If the woman isn't willing to follow you, then you shall be clear from this my oath. Only you shall not bring my son there again."