Mwanzo 41 : 57 Genesis chapter 41 verse 57
Swahili | English Translation |
---|---|
Mwanzo 41:57
Watu wa nchi zote wakaja Misri kwa Yusufu; ili wanunue nafaka; kwa sababu njaa imekuwa nzito katika dunia yote. </p>
|
Genesis 41:57All countries came into Egypt, to Joseph, to buy grain, because the famine was severe in all the earth. |