Warumi 12 : 8 Romans chapter 12 verse 8

Swahili English Translation

Warumi 12:8

mwenye kuonya, katika kuonya kwake; mwenye kukirimu, kwa moyo mweupe; mwenye kusimamia kwa bidii mwenye kurehemu, kwa furaha.
soma Mlango wa 12

Romans 12:8

or he who exhorts, to his exhorting: he who gives, let him do it with liberality; he who rules, with diligence; he who shows mercy, with cheerfulness.