Glorious Worship Team - Umenifanya Ibada

Chorus / Description : Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
Mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu

Umenifanya Ibada Lyrics

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
Mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu

Umenificha sirini,mwako bwana
Nikujue zaidi ya fahamu zangu

Mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamlaka na nguvu ninazo
maana we upo ndani yangu*2

Umenifanya Ibada,
nikwabudu umenipa kutumika,
chini ya pendo lako
mamlaka na nguvu ninazo
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yako*2

Nasema ndio Ndio*4
Ndio Bwana,bwana ndio bwana,bwana*4

Umenifanya Ibada Video

  • Song: Umenifanya Ibada
  • Artist(s): Glorious Worship Team


Share: