Best Songs

Dive into the most impactful and listened-to **swahili** songs. Our curated list is based on community ratings and popularity, featuring powerful lyrics and enriching melodies.

This dynamic chart is constantly updated to bring you the best in swahili music ministry. Discover new favorites and revisit timeless classics.

#1
No Image

Wewe ni Baba

Essence of Worship

Views: 20,853

Haku Haku Haku Haku yee  Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani  Matendo yako makuu ya ajabu  Yatisha kama nini  Umeinuliwa zaidi ya milima yote duniani  Matendo yako makuu ya ajabu ...

#2
No Image

Yesu Wastahili

Boaz Danken

Views: 18,635

Aaaaaah Eeeeeeh  Yesu wastahili heshima na utukufu  Aaaaaah Eeeeeeh  Yesu wastahili heshima na utukufu  Tumwambie Bwana  Aaaaaah Eeeeeeh  Yesu wastahili heshima na utukufu  Mwambie tena  Aaaaaah Eeeeeeh  Yesu wastahili heshima...

#3
No Image

Rafiki Mwema

Groupe Chandelier de Gloire

Views: 16,084

Kuna yule aliyenipenda  Si kwa ajili ya mali  Alinipenda wala hakujali udhaifu wangu  Akanionyesha upendo ambao sijaona kwa wengine  Huyu halali wala hasizinzii  Hata leo hajawai kunichoka eeeh  Kuna yule...

#4
No Image

Uniongoze

Ephraim Sekeleti

Views: 15,762

Uniongoze na huruma zako
Usipo nibariki siwezi enda
Minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda

Minajuwa bila nguvu zako siwezi kwenda
Kwa mkono wako kweli umenibariki ii
Kwa mkono wako kweli...

#5
No Image

Pokea Sifa

Eunice Njeri

Views: 14,676

Skiza tune: Sms "Skiza 7380975" to 811Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu) Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu)  Pokea sifa eeh Mungu (ewe Mungu) Eeh Haleluya (Amen), Haleluya (Amen) Haleluya (Amen Haleluya) Hae hae imbia...

#6
No Image

Roho Mtakatifu

Essence of Worship

Views: 13,987

Roho mtakatifu, utujaze na nguvu zako Utuhudumie, Uyaguse maisha yetu Roho mtakatifu, utujaze na nguvu zako Utuhudumie, Uyaguse maisha yetu Mito ya maji inyeshe sasa Mito ya maji inyeshe sasa Mito ya maji inyeshe sasa Mito ya...

#7
No Image

Msalaba ndio asili ya mema

Angela Chibalonza

Views: 13,902

Sioni haya kwa Bwana,
Kwake nitang’ara!
Mti wake sitakana,
Ni neno imara.

(Chorus)
Msalaba ndio asili ya mema,
Nikatua mzigo hapo;
Nina uzima, furaha daima,
Njoni kafurahini papo.

Kama kiti...

#8
No Image

Shangilia - Moyo Wangu Sifu Bwana

Aflewo

Views: 13,553

Moyo wangu sifu Bwana, sifu Bwana
Siku zote, Halleluyah Hallelujah
Imba imba, anaweza anaweza
Tumshangilie kwa shangwe, anaweza
Ndiye Bwana wa mabwana,

Oooh Moyo wangu
Moyo wangu sifu Bwana, sifu...

#9
No Image

Mtakatifu

Frank Njuguna

Views: 13,097

Sitaabudu miungu mingine iliyo na mifano yeyote
Sitapiga magoti yangu nisujudu
Nitakusanya sadaka zangu ziwe manukato
Kwa Yesu, Astahili Sifa ( x2)

Naleta sadaka za sifa Kwako Bwana
Heshima na...

#10
No Image

Umenipa Uhai Baba

Mercy Linah

Views: 12,616

Umenipa uhai Baba
Nafasi nyingine ya siku mpya, Baba nashukuru
Umeniponya roho na mwili
tabibu wa ajabu ewe Yesu, Baba nashukuru
Umeondoa laana Baba,
Kabadilisha kuwa baraka, Baba nashukuru
Kilio...

#11
No Image

Nachotaka - Nachotaka niwe Niwewe Tu

Emma Omonge

Views: 12,587

Nachotaka niwe niwewe tu  Nachotaka niwe niwewe tu  Haja ya moyo wangu Yesu uu  Haja ya moyo wangu Yesu uuh  .Kama ayala atafutavyo maji  Zaidi ya udongo mkavu  Uonavyo kiu...

#12
No Image

Sijaona Kama Wewe

Isaac Kahura

Views: 12,559

Hakuna Mungu kama wewe  Wajulikana kuwa una nguvu  Mbingu na nchi hakuna mwingine  Wakuabudu wewe ni Baba Mungu  Hakuna Mungu kama wewe  Wajulikana kuwa una nguvu  Mbingu na nchi hakuna...

#13
No Image

Haufananishwi

Boaz Danken

Views: 12,076

Wewe ni Mungu, mpasua bahari Haufananishwi na kitu kingine Haufananishwi na kitu kingine . Wewe ni Mungu, mtuliza mawimbi Haufananishwi na kitu kingine Haufananishwi na kitu kingine (rudia toka juu)...

#14
No Image

Ni Ujumbe Wa Bwana

Doudou Manengu

Views: 11,990


Ni ujumbe wa Bwana haleluya, kwa maisha ya daima,
Amenena mwenyewe haleluya, utaishi ukitazama

Tazama ishi sasa, kumtazama Yesu,
alinena mwenyewe, haleluya! utaishi ukitazama

Uzima wa daima haleluya , kwake...

#15
No Image

Kijito Cha Utakaso

Diana Sarakikya

Views: 11,688

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus) Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation) Viumbe...

#16
No Image

Nitaingia Lango Lake

Sarah Wangui

Views: 10,496

Wakati nitajikuta, mbinguni kwa baba,
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha,
Halleluya nitasifu, kufika mbinguni,
Hossana nitaingia kwa shangwe

Nitaingia lango lake na sifa moyoni,
Nitaingia kwa shangwe kuu,
Nitasema ni siku...

#17
No Image

Tunaleta Sifa

Essence of Worship

Views: 10,359

Wewe ni Mungu Hakuna mwingine wa kuabudiwa Unastahili sifa zote Wewe ni Bwana aah Tunaleta sifa zetu kwako Maana wewe ndiwe Mungu mkuu Tunaleta sifa zetu kwako Bwana Tunaleta sifa zetu kwako Maana wewe ndiwe Mungu mkuu Tunaleta sifa...

#18
No Image

Wewe ndiye Mungu hubadiliki - Nimeliguza

Paul Mwai

Views: 10,199

Nimeliguza vazi lako Elohim, nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosonna, tena kanipa uhai bila kulipa
Mie nitaubeba mzigo wako Rabii, kwa kuwa mzigo wako ni mwepesi sana
Nira yako ni...

#19
No Image

Hakuna Usiloweza

Essence of Worship

Views: 10,164

Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Hakuna hakuna hakuna Hakuna usiloweza Wewe ni Mungu wakuabudiwa Milele yote wewe ni kiongozi Uliwavusha wanaisraeli Bahari ya shamu kwa uwezi wako Maserafi makerubi wanasujudu mbele zako wanazivua taji zao mbele zako wakisema Niwewe wastahili...

#20
No Image

Mbele ninaendelea - Ee Bwana Uniunue

Sarah K

Views: 9,769

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe

Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
hapo wengi...

#21
No Image

Uweponi Mwako

Martin Murunga

Views: 9,752

https://www.youtube.com/watch?v=xfHVJd4ziRU

Uweponi mwako, uweponi mwako
Nataka niwe uweponi mwako

Chini ya miguu yako karibu nawe Yesu
Nataka mimi niwe uweponi mwako
Nifiche kwa mabawa yako karibu nawe Yahweh
Nataka niwe...

#22
No Image

Nena Nami

Marggie Dawn

Views: 9,743

Nena nami, nena nami Bwana Sema Bwana na moyo wangu Lisikie sauti yako Bwana nena, nena nami Nimechoshwa na sauti za watu Natamani sauti yako Inielekeze kwa njia zako Bwana nena, nena nami Nena nami, nena nami Bwana Sema...

#23
No Image

Usifiwe

Kestin Mbogo

Views: 9,390

Usifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabu Usifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabuUsifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabuUsifiwe uabudiwe Oh matendo yako Bwana ni ajabuMungu, wee ni Mungu Tumeuona mkona wako Mungu,...

#24
No Image

Mnyunyizi Wangu

Sarah K

Views: 9,230

Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda
Uninyunyiziaye maji, wakati wa ukame
Huwachi ninyauke, Oh nakupenda

Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda
Nakupenda, nakupenda
Mnyunyizi wangu, Oh nakupenda...

#25
No Image

kazi yangu ikiisha nami nikiokoka - Nitamjua

Emachichi

Views: 8,753

Kazi yangu ikiisha, nami nikiokoka
Na kuvaa kutokuharibika, Nitamjua Mwokozi nifikapo ng’amboni
Atakuwa wa kwanza kunilaki.

Nitamjua, nitamjua, nikimwona uso kwa uso;
Nitamjua, nitamjua, kwa alama za misumari.

Furaha nitapata...

#26
No Image

Wewe ni Mungu

Israel Ezekia

Views: 8,465

Wewe ni Baba wewe ni Mungu  Unayetunza maagano  Unasimama na neno lako  Wewe ni Baba, wewe ni Mungu  Wewe ni Baba wewe ni Mungu  Unayetunza maagano  Unasimama na neno lako ...

#27
No Image

Hunificha Hunificha - Tufani inapovuma

Elizabeth Nyambura

Views: 8,437

Tufani inapovuma,
Sana moyoni mwangu,
Huona pa kujificha,
Mkononi mwa Mungu,

Hunificha, hunificha, Adui hatanipata
Hunificha, hunificha, Mkononi mwake.

Pengine kuna taabu,
Yanisongeza kwake,
Najua si hasira,
Ni ya mapenzi...

#28
No Image

Unaweza

Boaz Danken

Views: 8,417

Unaweza unaweza unaweza unaweza Hakuna jambo lililo gumu la kukushinda YesuUnaweza unaweza unaweza unaweza Hakuna jambo lililo gumu la kukushinda Yesu Bwana akamwambia Yeremia Nenda nyumbani kwa mfinyanzi Utamwona mfinyanzi anavyofinyanga chombo Kilichoharibika anakifinyanga tena Anakifinyanga tena jinsi...

#29
No Image

Moyo Wangu

Patrick Kubuya

Views: 8,101

Moyo wangu Moyo wangu usilie tena  Moyo wangu usibabaike Unaye mungu mukuu sana Unaye mungu muweza wa yote .Aliingia roho mwangu,kanipa utulivu Kaniambia ewe mwanangu usi lie lie tena, nina...

#30
No Image

Nafsi yangu yakutamani - kama ayala

Ephraim Sekeleti

Views: 7,825

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,
Baba, nafsi yangu yakutamani.

Nafsi yangu yakutamani,
Roho yangu yaona kiu,
Kama ayala, atafutavyo maji ya mto,...

#31
No Image

Umetukuka

Israel Ezekia

Views: 7,776

(leader)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu

(all)
Mfalme Mwema,Mwaminifu
Baba Mweza yote
Una nguvu Haushindwi
Pokea utukufu
(all)
Twakupa
Heshima na sifa zote
Ewe Mungu...

#32
No Image

Twonane Milele - Nyimbo Na Tuziimbe Tena

Dinu Zeno

Views: 7,498

.Nyimbo na tuziimbe tena za alivyotupenda mbele;
Kwa damu ya thamani sana! Mbinguni twonane milele.
Twonane milele, Twonane bandarini kule;
Twonane milele, Twonane bandarini kule.

Hupozwa kila aoshwaye, Kwa damu...

#33
No Image

Liko Lango Moja Wazi - Lango ndiye yesu Bwana

Emachichi

Views: 7,370

Liko lango moja wazi, ni lango la mbinguni;
Na wote waingiao watapata nafasi.

Yesu ndiye lango hili, hata sasa ni wazi,
Kwa wakubwa na wadogo, tajiri na maskini.

Hili ni...

#34
No Image

Hakuna Kama Wewe

Kathy Praise, Kathy Praise

Views: 7,359

Nakwabudu Mungu eeh
Naungana na Malaika baba
Pamoja na maseraphi ewe
Makerubi na wazee ishirini na wanne
Kusema hakuna kama wewe eeh

Hakuna kama Wewe, Hakuna kama Wewe
Hakuna kama...

#35
No Image

Mimi Siwezi

Essence of Worship

Views: 7,202

Mimi siwezi neno lolote  Bila wewe Yesu  Mimi siwezi jambo lolote  Bila wewe Yesu  Mimi siwezi neno lolote  Bila wewe Yesu  Mimi siwezi jambo lolote  Bila wewe Yesu   ooh ooh...

#36
No Image

Huniachi

Reuben Kigame, Sifa Voices, Gloria Muliro

Views: 7,070

Umeahidi wewe Bwana huniachi
Hadi mwisho wa dahari ulisema huniachi
Wewe ni Mungu uliye mwaminifu siku zote

Nipitiapo maji mengi au moto huniachi
Unalijua jina langu ewe bwana huniachi
Unatengeneza...

#37
No Image

Tunakuabudu - Wastahili ewe Bwana Kupokea utukufu

Dan Em

Views: 6,947

Tunakuabudu Bwana
Tunakuabudu.
Tunakuabudu Jehovah
Tunakuabudu.
Tukisema

Wastahili ewe Bwana
Wastahili ewe Bwaa
Wastahili ewe Bwana
Kupokea Utukufu.

Tunakuinua Bwana
Tunauinuia

Tunakubariki Bwana
Tunakukubariki

Tunakuheshimu Bwana
Tunakuheshimu

Wastahili ewe Bwana...

#38
No Image

Bwana ni Mchungaji Wangu

Reuben Kigame

Views: 6,937

Bwana ni mchungaji wangu,
Sitapungukiwa kitu
Hun’laza penye majani mabichi,
Huniongoza kwa maji matulivu

Hakika wema nazo fadhili zitanifuata mimi,
Nitakaa nyumbani mwa Bwana,
Siku zote za maisha yangu

Hunihuisha...

#39
No Image

Cha kutumaini sina ila damu yake Yesu

Mbarikiwa

Views: 6,814

Cha kutumaini sina, ila damu yake Bwana
Sina wema wa kutosha, dhambi zangu kuziosha

Kwake Yesu nasimama, ndiye Mwamba ni salama
Ndiye Mwamba ni salama, ndiye Mwamba ni salama

Damu...

#40
No Image

Hakuna Mungu Kama Wewe

Evelyn Wanjiru, Mkhululi Bhebhe

Views: 6,755

Hakuna Mungu kama wewe Bwana (aaah aah ) No God like the Lord Hakuna Mungu kama wewe Bwana (aaah aah )Wamilele eeh eeh eehHakuna Mungu kama wewe Bwana (aaah aah...

#41
No Image

Tenda - Call Me Favour Live Medley

Deborah Lukalu

Views: 6,713

Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna mwingine kimbilio langu Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama wewe Baba Hakuna mwingine Baba wa wajane Hakuna hakuna, Hakuna Mungu kama...

#42
No Image

Wewe ni Mungu

Essence of Worship

Views: 6,701

Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Jina lako ni Bwana (Wewe ni Bwana wa Mabwana)Unadumu na kutawala Unastahili Unastahili Bwana Bwana Wewe ni Mungu Wewe ni Mungu Bwana Bwana Unastahili Unastahili Bwana Bwana Uweza ni wako Mamalaka ni yako Bwana Bwana Uweza...

#43
No Image

Umenibeba

Tumaini

Views: 6,697

Haijawa rahisi kufika hapa  Ni mkono wa Mungu umenibeba Haijawa rahisi kufika hapa  (It was not easy to come this far) Ni mkono wa Mungu umenibeba (The presence of the...

#44
No Image

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe

Tumaini

Views: 6,597

NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
NI wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na hesima ni wewe, mwenye nguvu na uwezo ni wewe
Wa kupewa sifa...

#45
No Image

Wewe Watosha - Tunainua Mikono yetu

Joy Ambale

Views: 6,559

Bwana Nimekuja kwako Kuliinua Jina lako kwani Wewe watosha Wewe furaha yangu ooh Wewe watosha . . Bwana
Tumekuja kwako
Kuliinua Jina lako
kwani Wewe watosha
Wewe furaha yetu ooh...

#46
No Image

Bwana Wewe ni Mwema

Boaz Danken

Views: 6,555

Bwana wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Bwana wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Wewe ni mwema Umejawa huruma na upendo Wewe ni mwema Wewe ni mwema Kwa wema wako ... Wewe ni...

#47
No Image

Unastahili Kuabudiwa

Krystaal Music

Views: 6,530

Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Wewe Baba Wetu)Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Mfalme wa wafalme) Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Wewe ni Mungu wetu)Unastahili kuabudiwa Unastahili wewe Yesu (Mfalme wa wafalme) Unastahili kuabudiwaUnastahili wee (Pekee...

#48
No Image

Hakuna Mungu Kama Wewe

Emachichi

Views: 6,517

Hakuna Mungu kama wewe Hakuna popote Hakuna mwenye ishara kubwa Kama ewe Mungu Si kwa majeshi Wala silaha Ni kwa roho mtakatifu Si kwa majeshi Wala silaha Ni kwa roho mtakatifu Nguvu za giza zimeshindwa Kwa jina la Bwana Yesu Nguvu za...

#49
No Image

Nimfahamu Yesu - Nataka nimjue Yesu zaidi

Alice Kamande

Views: 6,379

Nataka nimjue Yesu
Na nizidi kumfahamu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Zaidi, zaidi, nimfahamu Yesu
Nijue pendo lake na
Wokovu wake kamili

Nataka nimwone Yesu
Na nizidi kusikia...

#50
No Image

Wakusifiwa

John Lisu

Views: 6,251

Wakusifiwa wakuabudiwa  Ni wewe tu Mungu wa Miungu  Wakusifiwa wakuabudiwa  Ni wewe tu Mungu wa Miungu    Wakusifiwa wakuabudiwa  Ni wewe tu Mungu wa Miungu  Ni wewe tu (Mungu wa...

#51
No Image

Usiyeshindwa - mataifa yote yanakufahamu

Sarah K

Views: 6,130

Mataifa yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Chorus:
Usiyeshindwa, usiyeshindwa
Wewe ni Mungu usiyeshindwa

Makabila yote, yanakufahamu
Kuwa wewe ni Mungu usiyeshindwa

Na kanisa lako, linakufahamu
Kuwa wewe ni...

#52
No Image

Nakubaliana

Gloria Muliro

Views: 6,114

Nakubaliana na neno lako, Bwana.Nitasimama Kwa neno lako, Bwana. Nakubaliana na neno lako, Bwana.Nitasimama Kwa neno lako, Bwana... X2Ni Neno lako tu halibadiliki.Ni Neno lako tu la kutumaini.Umeliinua juu ya jina...

#53
No Image

Wastahili Bwana

Reuben Kigame

Views: 6,073

Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulikufa msalabani,
niokolewe,
wastahili Bwana

Wastahili Bwana.
Wastahili Bwana.
Ulibeba mizigo yangu,
sasa ni huru,
Wastahili Bwana


Uliacha utukufu wako.
Ukaishi kati yetu kwa mapendo.
Ulipatwa...

#54
No Image

Ninashuka Chini

Essence of Worship

Views: 6,036

Ninashuka chini Ninashuka chini sasa Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe Ninashuka chini Ninashuka chini sasa Yesu uinuliwe, Yesu uinuliwe Napungua ili wewe Bwana uongezeke Yesu uinuliwe Yesu uinuliwe Wengine wataja mali zao Bwana Yesu nalitaja jina lako Yesu uinuliwe, Yesu uinuliweNinashuka chini Ninashuka...

#55
No Image

Bwana U Sehemu Yangu

Elizabeth Nyambura

Views: 6,004

Bwana u sehemu yangu,
Rafiki yangu, wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Pamoja na wewe,
Pamoja na wewe,
Katika safari yangu,
Tatembea na wewe.

Mali hapa sikutaka,
Ili niheshimiwe,...

#56
No Image

UMETUKUKA TWAKUHESHIMU

Isaac Kahura

Views: 5,993

Umetukuka twakuheshimu
Hakuna mwingine kama wewe
Wewe Mungu baba yangu
nakuinua nakuabudu

Wewe mwanzo tena mwisho
Sitwasikia yudah hutashindwa
Sauti yako twaielewa
Unaponena twasikia

Niseme nini nikuinue?
Niseme nini nikuabudu?...

#57
No Image

Ebenezer Nani Kama Wewe

Paul Mwai

Views: 5,899

Moyoni mwangu Yahweh nashukuru sana
Kwa wema wako na fadhili zako kwangu za milele
Matendo yako maishani mwangu ya tisha Jehovah
Natamani nifanane nawe Messiah Siku zote
Usiye badilika na...

#58
No Image

Kwa Mji Wa Mwangaza

Godwin Ombeni

Views: 5,885

Kwa mji wa mwangaza hapana usiku, hautapita tena, hapana usiku Mungu atayafuta machozi na hasara hapo miaka itakoma hapana usiku 2Na mji ule hauhitaji jua wala mwezi kuuangaza kwa maana utukufu wa Mungu...

#59
No Image

Siri Ya Machozi Yangu/Haya

Mercy Ken

Views: 5,820

Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya machozi haya ni wewe wajua
Siri ya...

#60
No Image

Mkono Wa Bwana - Tumeuona Mkono Wako Bwana

Zabron Singers

Views: 5,735

Tumeuona mkono wake Bwana

Mengi mazuri tumeyaona, Mungu umetenda
Ni kweli we muweza
Ulitamka vitu vikawa
Neno tu latosha
Ukisema umetenda
Bahari shamu Isiraeli
Ah uliwavusha
Kawatoa utumwani
Watumishi wako...

#61
No Image

Nashangilia

Paul Clement

Views: 5,715

Nashangilia sababu Mungu, Amejibu haja ya moyo Wangu Kwa Imani yangu Amenijibu, Maswali Magumu Ya Moyo wangu, Ameniambia Amerejesha, kilichopotea aah Nami sina budi kushangilia, Japo sijaona Kwa Macho, Ila...

#62
No Image

Bwana Mungu Nashangaa kabisa

Mary Kanemba

Views: 5,711

Bwana Mungu nashangaa kabisa,
Nikifikiri jinsi ulivyo,
Nyota, ngurumo, vitu vyote pia,
Viumbavyo kwa uwezo wako.

Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe ulivyo mkuu,
Roho yangu na ikuimbie,
Jinsi wewe...

#63
No Image

Baba naomba kubarikiwa nawe

Isaac Kahura

Views: 5,711

Macho yangu, nayainua,
Nibadilishe, Unibariki,
baraka zako, haina huzuni,
nizakudumu milele amina

Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki
Baba naomba, kubarikiwa nawe,
sitoki hapa usiponibariki

ukabadilisha, Yakobo jina ukamwita,...

#64
No Image

Niguse Tena

Krystaal Music

Views: 5,617

Niguse tena, Niguse tena Ninaomba Baba niguse tena Niguse tena, Niguse tena Ninaomba Baba niguse tena Baba wa mbinguni Nasimama mbele zako Naleta mahitaji yangu, sijiwezi Baba Nilienda mahali pote, sikupata msaada Nategemea kwako leo, uniguse tena Ninaomba Baba...

#65
No Image

Enda Nasi

Reuben Kigame

Views: 5,593

Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi utusikie
Kama huendi nasi, hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi pekee yetu, enda nasi
Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako,...

#66
No Image

Unatosha - Nimeubeba Msalaba Wangu

Eunice Njeri

Views: 5,548

Nimeubeba msalaba wangu,
nikufuate wewe uliyenipenda
Nimeitua mizingo yangu kwako,
nakufwata wewe unayenipenda ×2

Bwana unatosha
Wanitoshaa... mungu wa agano
Wewe wanitosha ×2

Nasalimu amri yako eeeh baba
Sauti yako...

#67
No Image

Umenifanya Ibada

Glorious Worship Team

Views: 5,443

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika chini ya pendo lako
Mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo
mamalaka na nguvu ninazo
maana we upo,ndani yangu

Umenifanya Ibada Nikuabudu
umenipa kutumika,chini ya...

#68
No Image

Haja Ya Moyo

Eliya Mwantondo

Views: 5,371

Hii ni haja ya moyo wangu Hii ni haja ya moyo wangu Kukaa nawe Kukaa nawe Kukaa nawe Bwana Hii ni haja ya moyo wangu Hii ni haja ya moyo wangu Kukaa nawe Kukaa nawe Kukaa nawe...

#69
No Image

Mungu Mkuu - Zaidi Ya Yote

Evelyn Wanjiru

Views: 5,351

Zaidi ya yote
Utabaki kuwa Mungu mkuu
Alfa na Omega
Hubadiliki kamwe x2

Nikitazama nyuma na mbele
Naona ukuu wako
Kaskazini, kusini pia
naona ukuu wako
Magharibi nako mashariki pia...

#70
No Image

Yahweh

Essence of Worship, Eliya Mwantondo, Fred Msungu

Views: 5,343

Eh Mungu matendo yako yanishangaza Eh Bwana ukuu wako wanishangaza Nikufananishe na ni Bwana wangu Nikulinganishe na ni Bwana wang?Wastahili Ibada yahgu BwanaWewe uliyeketi Juu sana ninakuinua Maana hakuna aliye kama wewe Ninainua jina lako...

#71
No Image

Nimesogea Mtini Pako

Nuru Kitambo

Views: 5,324

Nasikia kuitwa na sauti yako
Nikasafiwe kwa damu, Ya kwangikwa kwako.

Nimesogea Mtini pako,
Unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako

Ni mnyonge kweli,Umenipa nguvu,
Ulivyonisafi taka, Ni utimilivu.

Nimesogea Mtini...

#72
No Image

Sina Jina

Ashley Nassary

Views: 5,321

Jina lako lapita majina yote Ni jina la Yesu Yapo majina yalikuwepo ohooh Lakini jina Yesu linaishi Jina lako lapita majina yote Ni jina la Yesu Yapo majina yalikuwepo ohooh Lakini jina Yesu linaishi Sina jina lingine Ila jina...

#73
No Image

Omba Omba utafute uso wa Bwana

Florence Mureithi

Views: 5,236

Gethsamane Yesu Aliomba, Baba mapenzi Yako yatimizwe, Mungu kwa ajili yako na yangu kampa nguvu Akashinda
Nawe omba, omba, utafute Uso wa Bwana
Aonaye kwa siri, atakujibu kwa wazi
dada......

#74
No Image

Wastahili

Paul Clement

Views: 5,211

Viti havifai tena, wanainama mbele zako Wanazivua taji zao, wanaziweka mbele zako Hizo ni heshima zao, wanazileta mbele zako Viti havifai tena wanainama mbele zako Wanazivua taji zao, wanaziweka mbele zako Hizo ni heshima zao,...

#75
No Image

Kama Sio Wewe

Dan Em

Views: 5,202

kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi...

#76
No Image

Baba Yetu

Sifa Voices, Reuben Kigame

Views: 5,103

Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu, jua na mwezi vyakutukuza
Wanyama wa pori, ndege wa angani
Sifa tele kwako Bwana...

#77
No Image

Kama Si Mkono Wako

Dr Ipyana

Views: 5,103

Mwamba, Yesu Mwamba, acha nitangaze sifa zako!Jesus,Rock ages; Let me declare Your praises!Kama si Mkono wako, ningekuwa wapiIf it had not been for your Mighty Hand,where would I be?Nimesimama juu...

#78
No Image

Neno Lako

Godwill Babette

Views: 5,094

Hallelujah Haleluya amen Limeinuliwa limeinuliwa neno lako oh Kama vile jina, ina nguvu leo na milele Limeinu- limeinuliwa neno lako oh Kama vile jana lina nguvu leo na milele Oh Kama vile jana lina nguvu...

#79
No Image

Karibu Yesu Karibu Moyo Wangu Uponye

Solomon Shemanzi

Views: 5,082

Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Nataka kufanana nawe
Moyo wangu upone

karibu Yesu Karibu, karibu Yesu karibu
Karibu Yesu karibu, moyo wangu uponye

Nataka kujazwa na roho
Nataka kujazwa...

#80
No Image

Mungu Baba twaomba uilinde nchi yetu

Rufftone

Views: 5,077

Mungu Baba twaomba, uilinde nchi yetu tuishi kwa umoja
Chuki si tumalize, tusameheane tupendaneNi wewe Mungu pekee
Mungu Baba twaomba, uilinde Kenya yetu tuishi kwa upendo
Chuki si tumalize, tuungane...

#81
No Image

Mfalme Mkuu

Kanjii Mbugua, Enid Moraa

Views: 5,072

ChorusWewe ndiwe, wewe ndiweWewe ndiwe mfalme mkuuNilikuwa nimekosa tumaini maishaniLakini Yesu akaniokoaNilikuwa niangamie, nianguke, nipoteeLakini Yesu akaniokoaPre-ChorusNapigwa na butwa, ninashangaa nimezubaaWema wako hauna kipimoNapigwa na butwa, ninashangaa nimezubaaNguvu zako, zako...

#82
No Image

Amini Amini Nakwambia

Angela Chibalonza

Views: 5,052

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya
Yeye aliyemwamini Bwana, anao uzima

Ni mwokozi aliyenifia
Nitoke dhambini alisema
Yeye aliyemwamini Bwana anao uzima

Amini amini nakwambia
Amini amini ujumbe mpya...

#83
No Image

Elohim Adonai Yahweh - Jehovah

Frank Njuguna

Views: 5,038

Jehovah Adonai elohim

Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli

Jehovah
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe ni Mungu wa Kweli
Jehovah Elohim
Elohim Adonai,Yahweh
Wewe...

#84
No Image

Kelele Za Ushindi

Paul Clement

Views: 4,996

Solo: Hizi ni kilele za nini?All: Hizi ni kalele za nini Solo: Mmepigana vita gani? All: Amepigana Bwana sio sisi Aiyee Aiyee Aiyee Kelele za washindi Aiyee Aiyee Aiyee Bwana ametupigania Aiyee Aiyee Aiyee Ametupa kushindaSolo: Mmepigana vita...

#85
No Image

Umejaa Neema

Dr Ipyana

Views: 4,986

Umejaa neema Yesu  Umejaa neema  Umejaa neema Yesu  Umejaa neema Umejaa neema Yesu  Umejaa neema  Neema ya wokovu Umejaa neema Umejaa neema Yesu  Umejaa neema  Umejaa neema Yesu  Umejaa neema...

#86
No Image

Aliyeniokoa

Essence of Worship

Views: 4,970

Aliyeniokoa, aliyeniokoaAliyeniokoa, ni Bwana Yesu Aliyeniokoa, aliyeniokoaAliyeniokoa, ni Bwana YesuNinamjua, aliye mwambaAliyeniokoa ni Bwana YesuNinamjua, aliye mwambaAliyeniokoa ni Bwana YesuAliyeniokoa, aliyeniokoaAliyeniokoa, ni Bwana YesuAmenikomboa, ameniweka huruAliyeniokoa, ni Bwana YesuAmeniponya, ameniweka...

#87
No Image

Nafsi Yangu Yakungoja Bwana

Martha Mwangi

Views: 4,958

Nafsi yangu, yakungoja Bwana
Kuliko walinzi, wangojavyo asubuhi

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi
Nafsi yangu yakungoja

Wale wote, wamngojao Bwana
Watafanywa upya, nguvu zao maishani

Naam kuliko walinzi
Wangojavyo asubuhi...

#88
No Image

Nasema Asante

Sarah K

Views: 4,926

Nasema asante kwa Mungu wangu
Nasema Asante kwa wema wako
kwa maana fadhili zako zadumu milele na milele Amina.

Nitaimba sifa zako mbele ya watu wote
Nitaimba sifa zako mbele...

#89
No Image

Bwana Yesu - Wewe Ndiwe Baba Yangu

Eunice Njeri

Views: 4,912

Bwana Yesu, Bwana Yesu,
Kimbilio langu, ni wewe Baba
Tumaini langu, liko kwako Yaweh,
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe
Mimi sina uwezo, sina Baba mwingine ila wewe...

#90
No Image

Tumeshinda

Eunice Njeri, Godwill Babette

Views: 4,906

Jeshi la Bwana amka, tuvae silaha twende Tuimbe tushangilie, maana yote yawezekana All:Jeshi la Bwana amka, tuvae silaha twende Tuimbe tushangilie, maana yote yawezekana Eunice Njeri(all): Hakuna asiloweza, tumeshinda kwa jina la Yesu Tumesimama kazi ya...

#91
No Image

Utukufu

Ali Mukhwana

Views: 4,893

Utukufu na heshima ni zako Bwana Ni zako Yahweh, ni zako usiyeshindwa Utukufu na heshima ni zako Ni zako usiyeshindwa Wewe uliyenihesabia haki Kwa neema yako, ni zako usiyeshindwa Mnara wangu wa utukufu Na kinga yangu, ni...

#92
No Image

Egemeo - Moyo Wangu Na Ukuinue kila Wakati

Godwill Babette

Views: 4,874

Roho wako Mwenyezi amenifanya jinsi nilivyo
Pumzi yako uhai wangu umefufua mifupa mikavu
Uhai umenipa Baba Yangu,
Umetuliza dhoruba wakati wa mawimbi

Moyo wangu na ukuinue kila wakati
Nafsi yangu...

#93
No Image

Wastahili mwanakondoo wa Mungu

Sarah Wangui

Views: 4,868

Mfalme wa mataifa wewe ni wathamana sana
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,
upewe heshima, sifa na uwezo
mwana kondoo wa mungu uliyechinjwa,

wastahili, wastahili, wastahili
mwana kondoo wa Mungu, uliyechinjwa...

#94
No Image

Hakuna Kabisa Dawa ya Makosa

Carole Kirima

Views: 4,793

Sioshwi dhambi zangu, Bila damu yake Yesu.
Hapendezewi Mungu, Bila damu yake Yesu.

Hakuna kabisa Dawa ya makosa
Ya kututakasa,Ila damu yake Yesu.

La kunisafi sina Ila damu yake Yesu....

#95
No Image

Habari Njema Raha Yangu - Ndiyo Dhamana

Solomon Mukubwa

Views: 4,771

Ndiyo dhamana, Yesu wangu, Hunipa furaha za mbingu, Mrithi wa wokovu wake, Nimezawa kwa roho wake. Habari njema, raha yangu, Yesu ndiye Mwokozi wangu, Habari njema, raha yangu, Yesu ndiye...

#96
No Image

Ni wewe tu Bwana

Solomon Shemanzi

Views: 4,746

Ni wewe tu Bwana, Ni wewe tu
Ni wewe tu Bwana ni wewe tu

Wewe ni mwanzo na mwisho Baba
Alpha Omega hilo ni Jina lako
Ushindi wako Baba ni...

#97
No Image

Inuka Mteule

Florence Mureithi

Views: 4,726

Inuka jitie nguvu, simama u mshindi Tawala una kibali  Msaidizi wako yu ndani yako  Nikueleze jeulivyo na nguvu Umepewa uwezo, kwa Roho wa Mungu Usife moyo mteule, Ufalme ni wako...

#98
No Image

Ni neema ya mkombozi - Nimefanyika kuwa mwana

Fanuel Sedekia

Views: 4,709

Ni neema ya mkombozi
Ni neema sikustahili
Ni neema ya mkombozi
Nineema sikustahili

Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa haki
Nimefanyika kuwa mwana
Na nimeesabiwa...

#99
No Image

Ewe Kenya Nchi Yangu

Kakai Kilonzo

Views: 4,709

Huu wimbo ninaimba oh, sio wimbo ni maombi
Nikiomba Mwenyezi Mungu oh aibariki Kenya yangu
kwa jina la Baba na la Mwana oh, Roho Mtakatifu Amina
kwa jina la Baba...

#100
No Image

Utukufu ni Wako

Sarah K

Views: 4,696

Utukufu ni wako, Hallelujah Utukufu ni wako, HaleluyaUtukufu ni wako, HaleluyaHale, Haleluya aah Utukufu ni wako, Hallelujah Utukufu ni wako, HaleluyaUtukufu ni wako, HaleluyaHale, Haleluya aahAah aaaah aaah Utukufu ni wako, Hallelujah Utukufu ni wako,...

Loading more songs...