Hakuna Rafiki Kama Yesu Lyrics

By Christina Shusho

Lyrics

Hakuna rafiki kama Yesu 

Yu pekee, Yu Pekee 


Hakuna rafiki kama Yesu 

Yu pekee, Yu Pekee 


Yesu ajua shida zetu 

Aweza kutuongoza 

Hakuna rafiki kama Yesu 

Yu pekee, Yu pekee


Extracted from Tenzi za rohoni Hymn 44

1

Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,

Tabibu mwingine wa rohoni, hakuna, hakuna.


CHORUS:

Yesu ajua shida zetu, daima ataongoza,

Hakuna rafiki kama Yesu, hakuna, hakuna,


2

Wakati ambapo hapo yeye, hapana, hapana,

Wala giza kututenga naye, hapana, hapana.

3

Aliyesahauliwa naye, hakuna, hakuna,

Mkosaji asiyempenda, hakuna, hakuna.

4

Kipawa kama Mwokozi wetu, hakuna, hakuna,

Ambaye atanyimwa wokovu, hakuna hakuna.

"Hakuna rafiki Kama Yesu by Christina shusho"

Now Playing...