Hapo mwanzo kulikwa na neno
naye neno alikuwa kwa mungu
na tena neno huyu alikuwa mungu
naye neno alifanyika mwili akaja
akakaa kwetu tukauona utukufu
wake mwana kondoo yohana
alimwona amevikwa vazi lilichovya
katika damu na jina lake lilikua mwana wa mungu
Lyrics Page
Hapo Mwanzo
3,630 views
Jun 6, 2026 updated