Lyrics Page

Muujiza

By Christina Shusho

1,787 views Jun 6, 2026 updated

Nikilala niamke, mkiona natembea 

Mwenzenu kwangu ni muujiza 

Asubuhi kuna kunakucha 

Jioni ikiingia maisha Yangu 

Mimi ni muujiza tu 


Siku ikipita mwezi na mwaka unakwisha 

Mimi kwangu ni muujiza tu 

Eeeeh Yesu ee Yesu Bwana wangu wee 

Kwangu ni muujiza eeh 


Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 

Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 

Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 

Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza 


Kuna waliolala hawakuamka, 

Eh Bwana, naona ni muujiza 

Walionza safari, hawakufika 

Mimi leo najiona ni muujiza 

Kuwa hai, kutangaza neno lako 

Bwana Kwangu mimi ni muujiza 

Sina sababu ya kunyamaza  

Maana kwangu, wewe Bwana ni muujiza 


Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 

Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 

Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 

Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza 


Hoyaa hoyaa, Oh Yesu 

Ah Yesu wangu oooh  


Mimi ni muujiza, maisha yangu ni muujiza 

Eh Bwana wee Kwangu ni muujiza 

Nikilala ni muujiza, nikiamuka ni muujiza 

Eh Bwana wewe Kwangu ni muujiza 


Official Video

Save Your Favorites

Create a free account to save songs, build your personal library, and connect with the Zion community.

Create Free Account

Join the Zion Community

Create a free account to save your favorite lyrics, submit song suggestions, and connect with fellow worshippers.

No spam. Unsubscribe anytime.