Karibu Yesu Moyoni Mwangu Lyrics + Video

Swahili Songs Playlist Music Videos

Karibu Yesu Moyoni Mwangu Lyrics

Mp3 Song

Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu

Karibu Bwana Moyoni Mwangu
Karibu Bwana useme nami
Moyo wangu unatamani kusema nawe

Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu

Moyo wangu ulikaribisha wageni Bwana
Sikujua nifanyeje nao nilikosa amani
Nilikosa msaada wowote
Nimesikia habari zako Bwana
Nakukaribisha moyoni mwangu
Karibu Bwana Moyoni mwangu

Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu
Karibu Yesu Moyoni Mwangu

Eeh Bwana nimesikia habari zako
Ya kwamba unafariji
Eeh Bwana nimesikia ujumbe wako
Ya kwamba unaponya

Karibu Yesu Ingia Yesu
Tawala Yesu Moyoni Mwangu


Top Songs United States
Share:

Write a review/comment/correct the lyrics of Karibu Yesu Moyoni Mwangu:

0 Comments/Reviews