Twende Nawe

By Lavender Obuya

Lyrics

Twende na wewe 

Twende na wewe 

Sitaweza pekee yangu Yesu 

Twende na wewe 


Twende na wewe 

Twende na wewe 

Sitaweza pekee yangu Yesu 

Twende na wewe 


Nyakati zimefika zilikabiliwa 

Kwamba hata walioteuliwa watashushwa moyo 

Njiani kuna giza milima na mabonde 

Wanyama wakali Yesu twende nawe 


Hatuwezi bila wewe 

Hatuwezi bila Yahweh 

Hatuwezi bila wewe 

Twende nawe 


Twende na wewe 

Twende na wewe 

Sitaweza pekee yangu Yesu 

Twende na wewe 


Twende na wewe 

Twende na wewe 

Sitaweza pekee yangu Yesu 

Twende na wewe 


Ndiwe daraja la uzima 

Maji ya uhai 

Hatuwezi pekee yetu 

Twende na Baba 

Ndiwe Baba kwa yatima 

Mume kwa wajane 

Hawataweza pekee yao uwakumbuke 

Wewe ndiwe tumaini 

Kwa wale waliojeruhiwa 

Hawataweza pekee yao twende na Baba 

Twende na wewe 


Twende na wewe 

Twende na wewe 

Sitaweza pekee yangu Yesu 

Twende na wewe 


Natamani Yesu ushirika wako

Natamani Yesu ushirika wako 

Natamani Yesu ushirika wako 

Twende Nawe - Pst Lavender Obuya (Official Music Video) [Skiza 7757821 to 811]