Chorus / Description :
Mungu ni yule yule
Jana hata leo oh-ooh
Milele habadiliki
Yeye ni yule yule
Mungu ni yule yule
Jana hata leo oh-ooh
Milele habadiliki
Yeye ni yule yule
Mungu ni yule yule
Jana hata leo oh-ooh
Milele habadiliki
Yeye ni yule yule
Mungu Mungu ni yule yule
Jana hata leo
Milele habadiliki
Yeye ni yule yule
Amini neno lake
Alilosema nawe
Hata hakawii
Ni kweli atatimiza
Ijapo sisi twabadilika
Yeye ni yule yule
Jana hata leo
Mungu wetu ni yule yule
Wo wo wo wo wooh
Mungu ni yule yule
Mungu Mungu ni yule yule
Jana hata leo
Milele habadiliki
Yeye ni yule yule