Chorus / Description :
What shall I render to Jehovah
For He has done so very much for me
Nikupe nini Mungu wangu
Sababu umetenda mengi kwangu
Nara nara ekele (Nara ekele mo)
Pokea Sifa Yesu
Nakutukuza Nakusifu (Nakushukuru)
Umenifanya ning'are
Nakutukuza Nakusifu Nakushukuru
Pokea Sifa Yesu
Nakutukuza Nakusifu (Nakushukuru)
I give you all the praise
Original Nara Version link
https://sifalyrics.com/tim-godfrey-travis-greene-nara-nara-ekele-mo-take-my-thanksgiving-lyrics .
Cover Lyrics By Angel Magoti
What shall I render to Jehovah
for He?s done so much for me
I can not tell it all
Nara ekele mo (Take my thanksgiving)
If I Had ten thousand tongues
It still won?t be enough
Nara ekele mo (Take my thanksgiving) .
Umetenda mengi kwangu
Siwezi tenda yote (Nakushukuru)
Hata kwa lugha kumi elfu
Bado haitatosha (Nakushukuru)
Mungu aniponyaye akiponya
Huponya kabisa (Nakushukuru)
Ajuaye moyo wangu
Ni mpaji anaishi naimba (Nakushukuru) .
What shall I render to Jehovah
For He has done so very much for me
Nikupe nini Mungu wangu
Sababu umetenda mengi kwangu
Nara nara ekele (Nara ekele mo)
Pokea Sifa Yesu
Nakutukuza Nakusifu (Nakushukuru)
Umenifanya ning'are
Nakutukuza Nakusifu Nakushukuru
Pokea Sifa Yesu
Nakutukuza Nakusifu (Nakushukuru)
I give you all the praise .
What shall I render to Jehovah
For He has done so very much to me
Nikupe nini Jehovah
Sababu umetenda mengi kwangu
(Switch to Reggae)
What shall I render to Jehovah
For He has done so very much to me
Nikupe nini Jehovah
Sababu umetenda mengi kwangu
Nara nara ekele (Nara ekele mo)
Pokea Sifa Yesu
Nakutukuza Nakusifu (Nakushukuru) .