Chorus / Description :
Wanitosheleza wanionyesha njia
Huniachi nianguke Baba
Wanipenda sana wanijali pia
Nasema nakushukuru
Oh nimetafuta kila kona
Sijampata mmoja ambaye anitosheleza
Oh mimi nimeonja sasa nimeona
Ya kwamba wewe u mwema uwoooh
Nilipocheka sababu ni furaha yako
Nilipokwita Baba kanisikia
Na sa nimetambua
Wanitosheleza wanionyesha njia
Huniachi nianguke Baba
Wanipenda sana wanijali pia
Nasema nakushukuru
(rudia *2)
Oh upendo wako ni wa kweli (O
Upendo usio na kamba zilizofungwa hapa na pale
Oh kanifia msalabani nilipokuwa kwa dhambi
Na sasa niko huru uwooh
Nilipocheka sababu ni furaha yako
Nilipokwita Baba kanisikia
Na sasa nimetambua
Wanitosheleza wanionyesha njia
Huniachi nianguke Baba
Wanipenda sana wanijali pia
Nasema nakushukuru
I have tasted and now I see
There?s Lord you are so good to me
Wanitosheleza wewe ndiye mwanga wangu
wanionyesha njia, mwaminifu tena sana
Wanitosheleza, Nitakusifu wewe mile
wanionyesha njia, Mpenzi wa roho yangu
Nilipocheka sababu ni furaha yako
Nilipokwita Baba kanisikia
Na sa nimetambua
Wanitosheleza wanionyesha njia
Huniachi nianguke Baba
Wanipenda sana wanijali pia
Nasema nakushukuru
Wanitosheleza wanionyesha njia ...