Chorus / Description :
Nainua mikono yangu juu
Ninakuabudu wewe
Unastahili kupokea utukufu
Na sifa ni zako mwenye enzi
Ninakuabudu nainua jina lako ewe Yesu
Hakuna kama wewe Yesu
Nainua mikono yangu juu
Ninakuabudu wewe
Unastahili kupokea utukufu na heshima
Na sifa ni zako mwenye enzi
Ninakuabudu nainua jina lako Yesu
Hakuna kama wewe Mungu
Nainua mikono yangu juu
Ninakuabudu wewe
Unastahili kupokea utukufu
Na sifa ni zako mwenye enzi
Ninakuabudu nainua jina lako ewe Yesu
Hakuna kama wewe Yesu
Uliacha utukufu wako mbinguni
Ukaja kunitafuta mimi
Hata nikuabudu nikuinue
Bwana wangu wastahili
Kupokea utukufu ee Bwana
Ulimwaga damu yako kwa ajili
yangu mwenye dhambi
Acha nikuine Yesu
Nainua mikono yangu juu
Ninakuabudu wewe
Unastahili kupokea utukufu
Na sifa ni zako mwenye enzi
Ninakuabudu nainua jina lako ewe Yesu
Hakuna kama wewe Yesu
Nainua mikono yangu juu
Ninakuabudu wewe
Unastahili kupokea utukufu
Na sifa ni zako mwenye enzi
Ninakuabudu nainua jina lako ewe Yesu
Hakuna kama wewe Yesu