Chorus / Description :
Wathamani Yesu wa thamani
Bwana wa thamani, wewe ni wa thamani
Wastahili heshima na utukufu
Uweza na mamlaka, wewe ni wathamani
Pokea sifa na maabudu
Uliyekuwepo, wewe uliyepo
Utakayekuwepo wewe ni wathamani
Wathamana wewe wathamana
Nimekuona ulivyotukuka enzini mwako
Mfalme wa wafalme wewe ni wathamani
Mtakatifu wa watakatifu wote
Hakuna kama wewe, wewe ni wathamani
Utukufu heshima uweza pia mamalaka
Ni zako wewe Bwana, Yesu wathamani
Enzini pako, umejaa utukufu mwingi
Umerembeka sana, wewe ni wathamani
Maserafi na makerubi, wasema mtakatifu
Unastahili milele yote, mfalme wathamani
Ninaungana na jeshi la mbinguni kuleta
Ibada iwe manukato kwako, wewe wathamani
Sina mwingine wakuabudu mimi,
Ila ni wewe Bwana wewe wa thamani
Nakuabudu kwa roho pia na kweli Yesu
Mfalme wa walfame, wewe ni wathamani
Wathamani Yesu wa thamani
Bwana wa thamani, wewe ni wa thamani
Wastahili heshima na utukufu
Uweza na mamlaka, wewe ni wathamani
Pokea sifa na maabudu
Shukurani na baraka, Wewe ni wathamani
Uliyekuwepo, wewe uliyepo
Utakayekuwepo wewe ni wathamani .
Barabara yako imeundwa kwa dhahabu
Fedha na dhahabu, zote zako wewe wathamani
Hata nguo yako inapigiwa kurana na walinzi
Nani kama wewe Mungu wa thamani
Nayo damu yako, inaondowa uwovu wote
Tabibu wa matabibu , wewe ni wathamani
Wewe ni ukweli, tena njia na uzima wa milele
Mfalme wa wafalme, wewe ni wathamani
Na jina lako, limeinuliwa juu sana
Jina la mamlaka , wewe ni wathamani
Nayo mikono yangu, nakuinulia wewe Baba
Magoti nakupigia, Yesu wathamani
Wathamani Yesu wa thamani
Bwana wa thamani, wewe ni wa thamani
Wastahili heshima na utukufu
Uweza na mamlaka, wewe ni wathamani
Pokea sifa na maabudu
Uliyekuwepo, wewe uliyepo
Utakayekuwepo wewe ni wathamani
Uuuuh uu uuuuh, uuu uuh uuuh .
Wathamani Yesu wa thamani
Bwana wa thamani, wewe ni wa thamani
Mtakatifu Yesu mtakatifu
Bwana wa mtakatifu, wewe ni wa thamani
wauweza Yesu wa wauweza
Bwana wa wauweza, wewe ni wa thamani
Waajabu Yesu wa ajabu
Bwana wa ajabu, wewe ni wa thamani
Wathamani Yesu wa thamani
Bwana wa thamani, wewe ni wa thamani
Shukurani na baraka, Wewe ni wathamani