Chorus / Description :
Nikupe ni Mungu wangu
Na vitu vyote ni mali yako
Nikupe ni Mungu wangu
Na vitu vyote ni mali yako
Nikupe ni Mungu wangu
Na vitu vyote ni mali yako
Nikupe ni Mungu wangu
Na vitu vyote ni mali yako
Nikikupa nayo fedha
Fedha zote ni mali yako
Nikupe ni Mungu wangu
Na vitu vyote ni mali yako
Nikupe ni Mungu wangu
Na vitu vyote ni mali yako
Video currently not available, recommended watch
Uheshimiwe Baba by Pst. Ushindi Emmanuel