Chorus / Description :
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
Umejawa na rehema, na nehema tele
Were it not for you, where could I be
Psalms 124:1 "Had it not been the LORD who was on our side..."
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
Umejawa na rehema, na nehema tele
kwa wema wako bwana, leo nimeokolewa
kwa huruma zako nyingi,mimi nimesamehewa
na kwa pendo lako kuu, mimi nimekombolewa
Nasema umejawa na rehema, na nehema tele
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
Umejawa na rehema, na nehema tele
shetani alionea , Yesu ukanitafuta
ukaniokea wewe, kwa rehema na nehema
ukanirejesha kwako, ukaniita mwanao
Kwa neema zako na rehema, mimi nimesamehewa
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
Umejawa na rehema, na nehema tele
kama sio wewe, ningeitwa nani leo
ningekuwa sina jina, ningekuwa sina maana
Lakini kwa kifo chako, mimi nimepata kuwa na Jina
ninaitwa mwana wa Mungu, ninaitwa mtakatifu
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
kama sio wewe ningekuwa wapi mimi
ningekuwa wapi mimi
Umejawa na rehema, na nehema tele
Asante Yesu, kwa fadhili zako nyingi
asante baba, kwa upendo wako nyingi
umenisamehe mimi, umeniosha
ukanifanya wako, asante
Were it not for you, where could I be
Psalms 124:1 "Had it not been the LORD who was on our side..."