Diana Sarakikya - Kijito Cha Utakaso

Chorus / Description : Kijito cha utakaso, Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana kwa hiyo Nimepata utakaso
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu,
Bwana anao uwezo kunipa wokovu

Kijito Cha Utakaso Lyrics

Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu (The cleansing river is the Blood of Jesus)
Bwana anao uwezo kunipa wokovu (The Lord has the authority to grant me salvation)
Viumbe vipya naona, Damu ina nguvu (I see new beings, the Blood is powerful)
Imeharibu uovu, uliyo dhulumu (It has destroyed the evil that harm) .

Refrain:
Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat) .

Naondoka kutembea, nurudi mwa mbingu (I have left to walk, returning towards the heavens(?))
Na moyo safi kabisa kumpendeza Mungu (With a clean heart that pleases God)
Ni neema ya ajabu kupakwa na damu (What a great Grace to be anointed by the blood)
Na Bwana Yesu kujua Yesu wa msalaba (Of The Lord, and to know Jesus of the Cross!) .

Kijito cha utakaso (The cleansing river)
Nizame kuoshwa humo (That I may be immersed and cleansed there)
Namsifu Bwana kwa hiyo (I praise the Lord because)
Nimepata utakaso (I have received the cleansing) (Repeat)

Kijito Cha Utakaso Video

  • Song: Kijito Cha Utakaso
  • Artist(s): Diana Sarakikya
  • Album: In This Place - EP
  • Release Date: 16 Apr 2021
In This Place Audio Preview: Download / Stream : Amazon Music / iTunes


Share: