Eliya Mwantondo - Adui Hana Nafasi

Chorus / Description : Adui hana nafasi,
Nguvu ii ndani yangu,
Sina deni tena,
Yesu yu ndani yangu.

Adui Hana Nafasi Lyrics

Mwizi haji ila aibe 
Asije haribu kila kitu 
Niilikuja kuweka uzima uzima tele 
Na muwe nao tele 
ndani yenyu imewekwa nguvu ya kumiliki 
na kutawala 

Hivyo Bwana nachukua 
(Nachukua nafasi yangu 
Nachukua ushindi wangu 
Natamaliki mipaka yangu) 
Baba hukuniumba niwe wa kuonewa 
Wala sikufanywa niwe wa chini 
Bwana hakukuumba uwe wa kuonewa 
Wala sikufanywa niwe wa chini 
So I call miracles fall 
Now right now 
I call miracles fall 
Now right here 

I call annointing fall 
Now right here  
I call annointing of the living God 
Fall Now right here 

Power fall Now right here 
Power fall Now right here 

Favor fall now right here 
Favor fall now right here 

Nachukua nafasi yangu 
Nachukua ushindi wangu 
Natamalaki mipaka yangu 

Narejesha furaha yangu 
Narajesha uzima wangu 
Natamalaki mipaka yangu 

Adui hana nafasi 
Nguvu ii ndani yangu
Sina deni tena 
Yesu yu ndani yangu 

Adui hana nafasi 
Nguvu ii ndani yangu
Sina deni tena 
Yesu yu ndani yangu 

Adui hana nafasi 
Nguvu ii ndani yangu
Sina deni tena 
Yesu yu ndani yangu 

Adui Hana Nafasi Video

  • Song: Adui Hana Nafasi
  • Artist(s): Eliya Mwantondo


Share: