Ukiwa na Maono ya Mungu - Maono Yako Lyrics

Ukiwa na maono, utasonga mbele, utabarikiwa, utainuliwa.
Ukiwa na maono, utasonga mbele, utabarikiwa, utainuliwa.

Ukiwa na maono ya Mungu, ukiwa na maono.
utasonga mbele, utabarikiwa
utainuliwa na maono yako yatatimia

Ukiwa na maono ya Mungu, ukiwa na maono.
utasonga mbele, utabarikiwa
utainuliwa na maono yako yatatimia.

Yohana aliona maono pale Partimo.
Yoshua na Calebu walikuwa na maono.
Yusufu naye aliona maono.
Kuwa nduduye wote watamwinamia.

Ukiwa na maono ya Mungu, ukiwa na maono.
utasonga mbele, utabarikiwa
utainuliwa na maono yako yatatimia.

Ukitaka kuwa tajiri, kuwa na mipango.
Chukua hatua, toa fungu la kumi.
kuwa na imani, na matendo yafuate.
Na maono yako yatatimia.

Ukiwa na maono ya Mungu, ukiwa na maono.
utasonga mbele, utabarikiwa
utainuliwa na maono yako yatatimia.

Ukitaka kuimba, kuwa na maono.
Ya kwanza ni moto, wa roho mtakatifu.
Ya pili kuwa na mipango,
Ya tatu chukua hatua,
Ya nne kuwa na imani, nautaipata.

Ukiwa na maono ya Mungu, ukiwa na maono.
utasonga mbele, utabarikiwa
utainuliwa na maono yako yatatimia.

Fuata maono yako, fuata maono yako.
Mama fuata
Fuata maono yako, fuata maono yako.
Baba Fuata
Fuata maono yako, fuata maono yako.
dada... Fuata maono yako
ndugu... Fuata maono yako

Ukiwa na Maono ya Mungu - Maono Yako VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Ukiwa Na Maono Ya Mungu - Maono Yako:

0 Comments/Reviews