Chorus / Description :
Wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu
Wastahili upewe sifa ewe Bwana
Wastahili upewe sifa ewe Bwana
Wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu
Wewe ni Mungu
Wastahili upewe sifa ewe Bwana
Wastahili upewe sifa ewe Bwana
Wewe ni alpha na Omega
Wa kwanza na wa mwisho
Wewe ni alpha na Omega
Wa kwanza na wa mwisho
Wastahili upewe sifa Mungu
Wastahili upewe sifa Mungu
Upewe sifa
Kwa kuwa wewe ni yule
Jana hata milele
Kwa kuwa wewe ni yule
Jana hata milele
Nikufananishe na nani Mungu wangu
Nikufananishe na nani Mungu wangu
Nikitafakari jinsi unavyolinda watu wako
Naona ajabu
Nikitafakari jinsi unavyolinda watu wako
Naona ajabu
Hata akili zangu zashindwa
Kuyatafakari makuu ya Mungu
Wastahili sifa ewe Mungu wangu
Wastahili sifa ewe Mungu wangu
Wastahili upewe sifa
Wastahili upewe sifa
Maana tulilala kama vile, kama vile wafu
Masikio wazi hakika na vinywa wazi
Maana tulilala kama vile, kama vile wafu
Masikio wazi hakika na vinywa wazi
Vidudu vilitembea juu ya miili yetu
Ili vituangamize lakini Mungu umetushindia
Vidudu vilitembea juu ya miili yetu
Ili vituangamize lakini Mungu umetushindia
Wastahili upewe sifa Yahweh (umetushindia)
Kwa kuwa wewe ni Mungu (umetushindia)
Wastahili upewe sifa Baba (umetushindia)
...