Chorus / Description :
Nimemuona Yesu
Nimemuona Baba
Eeh nimemuona Yesu
Nimemuona Baba
Kama Petro alivua samaki
Bila mafanikio
Usiku huo ulikuwa mgumu
Ulikuwa mkavu
Lakini Yesu alipofika
Zile nyavu zilijaa samaki
Nani kama Yesu?
Nimemuona Yesu
Nimemuona Baba
Eeh nimemuona Yesu
Nimemuona Baba
Nimemuona Yesu akitenda
Nimemuona Baba
Nimemuona Yesu, nimemuona Baba
Nimemuona Yahweh, nimemuona Baba
Ni mengi aliyotenda
Hajawai nifeli hata siku moja
Uhai amenipa
Baraka za bure Yesu amenipa
Uzima amenipa
Uhai wa bure baba amenipa
Afananishwe na nani
Yesu alinganishwe na nani
Afananishwe na nani
Yesu alinganishwe na nani
Unameremeta Yesu unametata
Unameremeta Yesu unametata
Unameremeta Yesu unametata
Unameremeta Yesu unametata
Nimemuona Yesu
Nimemuona Baba
Eeh nimemuona Yesu
Nimemuona Baba
Nimemuona Yesu akitenda
Nimemuona Baba
Nimemuona Yesu, nimemuona Baba
Nimemuona Yahweh, nimemuona Baba