Chorus / Description :
Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, mweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu
Nikuite Mfalme, mfariji, mtetezi, msaada
Masia, Imanueli, Mungu pamoja nasi
Tena niweee, Baba wa Yatima
Nakupa sifa-aa, Pokea sifa
Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, mweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu
Tabibu wa ajabu, mponyaji
kimbilio la wenye haki, Jemedari
Mshinda na baba wa wajane
Nikuite nani hakuna kama wewe
nakupa sifaaa, pokea sifa
Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, muweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu
Hakika we wa ajabu, Fadhili zako za milele
Wewe ni wa ajabu, nitakupa sifa na utukufu-uu uu
Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, muweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu
Hakuna kama wewe, Mungu mwenye enzi
twakuabudu Bwana, pokea sifa aah
Wewe ni mkuu, nasema tena we ni mkuu
umeshinda kifo na mauti, wewe ni mkuu
mshindi, muweza, mponyaji mtakatifu
wee ni mkuu, Yesu wewe ni mkuu