Sitabaki Kama Nilivyo Cover Lyrics

Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai . .

Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo . .

Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite . .

Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo eeh
Mtetezi wangu
Yu hai (Yu hai)
Sitabaki kama nilivyo .

Original Song: Sitabaki Nilivyo by Joel Lwaga

Sitabaki Kama Nilivyo Cover VideoShare:

Write a review/comment/correct the lyrics of Sitabaki Kama Nilivyo Cover:

0 Comments/Reviews